Tuesday, May 6, 2008

BONGOLAND II - A review by Dr. Aldin Mutembei

HONGERA SANA!! Mno Mno. Kazi imefanyika kwa hakika. Ni film nzuri.
Kwanza nimeangalia dhamira nzima, yaani Theme. Maana nimeiangalia nikiwa na mawazo ya kuwa baadaye inaweza kutumiwa na Vyuo Mbalimbali. Dhamira yake ni nzuri sana. Imechukuana na wakati huu.Nimependa pia Plot. Jinsi kisa kimoja kinavyounganika na kisa kingine na kuunda mtiririko wa situ kizima.

Kwa upande mmoja unaonesha Tanzania inayobadilika, ila kwa upande mwingine kwanini dhana ya “Mswahili” haibadiliki?

Kwa Ujumla, hadithi nzima na mtiririko wake ni nzuri sana. Ni Hadithi nzito ambayo ipo Leo, lakini pia inaonesha Jana ilivyokuwa. It cuts across time.

Hongera sana kwa Kazi nzuri
Aldin

MORE ON DR. MUTEMBEI
Dr. Aldin Mutembei (Visiting Lecturer, PRINCETON INSTITUTE FOR INTERNATIONAL AND REGIONAL STUDIES; September 2007–June 2008). Mutembei is currently a lecturer at the University of Dar es Salaam in Tanzania, where he teaches courses in Swahili language and literature. Dr. Mutembei is the author of Kisiki Kikavu (2006), a Kiswahili novel on the AIDS crisis and of numerous articles. His recent research focuses on the socio-cultural and socio-linguistic aspects of HIV/AIDS in Tanzania. While at Princeton, Dr. Mutembei will teach courses in comparative literature and African studies. Ph.D. Leiden University, Netherlands, 2001.

No comments: