Friday, April 27, 2007

Bongoland II - No Juma yet?

Tunashukuru sana kwa kutaka kujua matokeo ya uamuzi wa nani atakuwa Juma. Kusema kweli harakati za kujibu swali hili bado ziko mbioni. Hapa kuna picha zinazoonyesha harakati hizo zilizofanyika juma lililopita hapa mjini Minneapolis. Vinginevyo unaweza kupata habari zaidi kupitia kwenye site yetu


Thank you very much for the continued interest in the search for Juma. We are doing all we can to reach the final outcome. Please be assured that you will be informed as soon as the decision is made. Here are some images from last week's screen testing for Juma which took place in Minneapolis. Keep visiting our site for the most current info about our search and other Bongoland II production news.

No comments: